Recent content by sufuri0

  1. S

    JamiiForums Naomba kujua njia kuu za uchumi wa nchi ya Urusi

    Usilete ushabiki wa kimapenzi
  2. S

    JamiiForums Naomba kujua njia kuu za uchumi wa nchi ya Urusi

    Hapana Africa ni mnunuzi wa silaha namba moja wa urusi china inanunua tank kwA wingi kutoka urusi nchi za Golden traingel wananununua kwa wingi bunduki
  3. S

    JamiiForums Naomba kujua njia kuu za uchumi wa nchi ya Urusi

    Hapana ila leo hii aseme siuzi gesi ulaya uchumi wao watu ulaya unaanguka kwa asilimia 65 pitia jarida la Economists pia wao Ndiyo wana sambaza silaha 55% duniani
  4. S

    JamiiForums Naomba kujua njia kuu za uchumi wa nchi ya Urusi

    Hapa umekosea Urusi Ndiyo inasambaza gesi yote Ulaya pamoja na nchina India
  5. S

    JamiiForums Naomba kujua njia kuu za uchumi wa nchi ya Urusi

    Vipi siasa zake na kwanini Putin anakuwa peke yake na sarafu yake inanguvu gani duniani na imebakia na majimbo mangapi?
  6. S

    JamiiForums Naomba kujua njia kuu za uchumi wa nchi ya Urusi

    Bado katika pesa yake ina nguvu gani na pia mpaka sasa amebakiwa na mjimbo mangapi na siasa zake kwanini awe ye peke varda put na ina Serekali za majimbo
  7. S

    JamiiForums Naomba kujua njia kuu za uchumi wa nchi ya Urusi

    Habari wana ukumbi, je Urusi inategemea nini kwenye uchumi wake na shilingi yake ina nguvu gani duniani!
Back
Top Bottom