Kwa kwl watu tutumie mitandao vzr japo hamna mtu wnaweza akakufanya mwnyw ila unajijushia hadhi
Mm nimeshapoa na mm nilikosea kwny kuelezea
Ila tuyajenge yalisha pita
Sent from my SKR-H0 using JamiiForums mobile app
Kwa ss sina nguvu ya kulima nafuatilia umeme
Nakukodishia ww ulime
Hapo makubaliano yatakua kutokana na ukubwa wa shamba utakavyo taka
Sent from my SKR-H0 using JamiiForums mobile app
Inategemea kukodisha ni 100k unaweza bahatika la kwnyw mfereji
Kununua pale maeneo ya mwandeti 3.2 mil lkn hamna mfereji karibu
Sent from my SKR-H0 using JamiiForums mobile app
Yap nimeelewa nililosea mkuu ningefurah kuambia vzr ila sio kuitwa mwizi ilikua sio poa..uzur kuna mdau alifika na kuuliza heyo sehem akaambia panafikika all is well
Next time ntakua makini
Sante sna
Sent from my SKR-H0 using JamiiForums mobile app
Wakiwa wawil itakua vzr ili divisification ya profit isiwe kuuubwa ila tukisema tulipige lote na watu waka inject kiasi kikubwa niko okay kabxa
Ila set back ya mafuta tukikaa tukaitatua na watu mkawa okay na cost zake then tunalima bila tatizo
Ndo maana plan B nimetafuta tanesco waanze...
Hapo uko sawa kabisa mm sio mkazi wa hapo mm ni wakuja so kuchanganya mafile inatokea
Uzur watu weliofikia stand wakaulizia wakaambia mwandeti panafikia yote ni kheri na afadhi
Mafuta mafuta ndo imekua changamoto mkuu kisima ni kirefu na lazima uweke kwnyw bwawa then mashine moja ipeleke...
Umeona bro watu wamefika nduruma stand na wameuliza mwandeti ipo
Ndo ujifunze kua mwnyji sio kila sehem utaijua
Be hamble next tym kama waona huelewi kitu ka kimya fanya uchunguzi then approch mtu kwa unidham sio kuita watu wezi
Sent from my SKR-H0 using JamiiForums mobile app
Hizi ndo mashine tunatumia kupandisha maji na nyingine ya kupeleka maji shambani kutokea kwny bwawa kama huku juu nilivituma shamban
Sent from my SKR-H0 using JamiiForums mobile app
Mm niko flexible heka yote naweza nikakupa ila lazima nikupe kijana wa kuweza kurun mashine zetu as zinaitaji kubadil oil kila masaa 50 zije zikaharibika
Tunaweza kukodisha kwa msimu ni maelewano t
If ur really serious sio yani serious yan deadly serious tunaweza tunaweza tukakukodishia...
Alooo asante sna kwa msaada wako huyu jamaaa alikua anajaribu kuwapoteza
Wabongo wengi social media wana abuse
Sijui hata huwa wanafikiria... Mm nia ilikua nikuoata mtu wa kusaidiana nae kwny shamba
Nikupe hongera pia kwa kufika mpk hapo yaonesha jinsi gani umechukua hatua ukajua kijiji...
Ni kwl mashamba yapo ya kumwaga bie kama sikosri ni 100k kwa heka ukibahatika lenye kupita mferiji
Mengi hayafiki kama hii langu mvereji uko mbaaali sna so nimechimba kisima
Kiubinadamu zio rahc kuamini afu isitoshe ni mambo ya kwnyw mtandao naelewa ni ngumu kumeza
Ila pale mtu atakapo kua na wito kamili wa kufika sehem yenyw mm nitampeleka na kumuuonesha viambatanisho vyote kua shamba ni langu
Hapo kwa heka yaitaji 40k kwa kila heka kwa kulima hauja palilia 40k ha haujapanda 40k haujapiga dawa dram 10k haujaweka mbolea na KUBWA YA YOTE WATUMIA DIZEL UTASEMA BADO NI RAHC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.