Recent content by sudirashid

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nissan murano

    Mwenye nalo aseme
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nissan murano

    Habari zenu Natafuta Nissan murano. Ya mwaka wowote. Nina sh 8m sina ya ziada. Mwenye nalo anitaarifu humu
  3. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAHADHARI: Kuna watu wamepata madhara baada ya kula mboga za majani zilizonunuliwa stendi ya daladala Mbezi Luis

    Mi nshaweka tarifa. Maamuzi ni yenu. Mkipata kansa shauri yenu. Kwani siku hizi changamoto afya ya akili imeshamiri. Watu kutukana wenzao bila reason ni changamoto afya ya akili. Ndio matokeo ya kula ma kemikali. Maamuzi yenu wadau
  4. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAHADHARI: Kuna watu wamepata madhara baada ya kula mboga za majani zilizonunuliwa stendi ya daladala Mbezi Luis

    Habari ya mchana Nimeamua niwaandikie wenzangu kwa kifupi kuhusu madhara rafiki zangu waliyoyapata baada ya kununua mboga za majani pale stendi ya daladala Mbezi Luis. Siku chache zilizopita rafiki zangu Hawa walinunua mchicha pale stendi ya mbezi Luis na kwenda kuupika na kula. Madhara...
Back
Top Bottom