Habari zenu wakuuu..
Napenda kuwatangazia tunauza mashine kubwa mpya na imara za kusagia nyama.
Hazitumii umeme,ni nguvu yako ya mkono wako tu
Hizi ni saizi kubwa D32.
Zinasaga nyama zinakuwa laini.
Vilevile zinasaga Kunde kwa ajili ya bagia pia pilipili kwa wapenzi wa kupika pilipili hizi...
Habari zenu wakuuu.....
Napenda kuwatangazia tunauza mashine mpya na imara za kusagia karanga.Hizi hazitumii umeme ni nguvu ya mkono wako tu.Tunauza elfu 45 za kitanzania.
TUNAPATIKANA MAKUTANO YA LUMUMBA STREET NA MCHIKICHI STREET.
DUKA LINAITWA AH-ZAMAN ...
KWA MAWASILIANO ZAIDI ZAIDI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.