Recent content by STUNI

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko hapa kutafuta Mke halali wa ndoa

    Naishi Dar es Salaam Nina watoto 3 Nafanya kazi na Biashara Elimu ya chuo Umri wangu 42 Dini Yangu Mkristo. Niko hapa kutafuta Mke halali wa ndoa, Umri kuanzia miaka 30+ Asiwe na mtoto/watoto (kifurushi changu cha watoto bado hakijaisha) Dini yoyote Elimu yoyote, Sio lazima awe na kazi...
Back
Top Bottom