Recent content by Stuka

  1. S

    JamiiForums Tanzania Asenga aibua ishu ya mtoto wa Rais Samia kupewa unaibu waziri - Sakata la Abdul - ''NONGWA TU''

    https://youtu.be/A9g01IWawAs?si=MpgoXABf4N-5Efu-
  2. S

    JamiiForums Tanzania CCM yapendekeza Samia urais hadi 2035

    ni vikao vya CCM ndiyo viliamua tena nasikia nilivyafanya uamuzi huo mwaka 2023
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM yapendekeza Samia urais hadi 2035

    Sawa lakini ujumbe wake ni umesema kuanzia 2025 hadi 2035
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hahusiki kuratibu maandamano ya wakatoliki

    2030 Rais anaendelea Samia hadi 2035 ndio anamaliza miaka yake 10 kwa mujibu wa utaratibu wa CCM.
  5. S

    JamiiForums Tanzania CCM yapendekeza Samia urais hadi 2035

  6. S

    JamiiForums Tanzania Hujuma za SGR ni mbinu mpya ya kuuza kwa Mwarabu

    hiyo ni mipango mnaandaliwa kisaikololojia akishaichukua mwekezaji anaamua yeye kila kitu nauli yeye na huduma inaweza hata kufa unakumbuka zama za mwekezaji wa RELI TRL kutoka India enzi za Jakaya?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hujuma za SGR ni mbinu mpya ya kuuza kwa Mwarabu

    kuna mikataba tuliambiwa imeingiwa ya siri zaidi ya 40 haijulikani na SGR imo humo? maana ni siri
  8. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri halionekani leo mitaani baada ya kuandika habari za Warioba, kulikoni?

    GAZETI la JAMHURI lililokuwa na mwendelezo wa Mahojiano maalum na Mzee wa Warioba yaliyofanywa na Mhariri Manyerere Jackton bahati mbaya leo nimelitafuta kwenye meza za magazeti sijafanikiwa kuliona kulikoni? au limezuiliwa kutoka leo? Je mwendelezo wa mahojiano na Mzee Warioba yaliyokuwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Muda wa Samia kukaa Ikulu ulikwisha siku aliposema, ‘Kama hamkutaka Serikali tuwaue kwanini mliwaruhusu waingie barabarani?'

    Hii hoja kuna kipindi Hamisi Kigwangala aliwahi kuiibua ila badae akazimika na kupoteza kabisa Ubunge
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hujuma za SGR ni mbinu mpya ya kuuza kwa Mwarabu

    Mambo yanayoendelea SGR ya wananchi kulalamikia huduma ni mchezo unatengenezwa ili Serikali ije na maelezo kuwa TRC haiwezi kusimamia SGR hivyo Serikali imepata mwekezaji atakayeendesha kwa ufanisi na hapo ndipo mali ya umma itakapouzwa kwa bei poa kwa mwarabu. Huyu mwarabu anakuwa kama kivuli...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu tetesi za Luhaga Mpina kukatwa CCM; “ugomvi na viongozi wa CCM umechangia

    Inasekana ugomvi baina ya Mpina na viongozi wa CCM Mkoa wa Simiyu ndio chanzo cha jina lake kukatwa katika vikao vya Mkoa. https://youtu.be/qN1T8rrBep8?si=64FCUMgEIb8iIE-T
  12. S

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

    Bashe aachane na mambo ya Polepole ajibu kwanza hizi hoja zinazohusu Wizara yake
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Hussein Bashe ajibu waraka wa Kinana na Makamba, Je atajibu tena hoja za Polepole?

    Mbunge wa Nzega Hussein Bashe amefanya mahojiano maalum na Azam TV 17 Jul 2019 na kuzungumzia sakata linaloendelea kushika vichwa vya habari kwenye medani za siasa la waraka ulioandikwa na makatibu wakuu wastaafu wa CCM Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Bashe ni MSOMALI? lazima ajitokeze kimbelembele kujibu Hoja za Polepole ili Mamlaka iendelee Kumkumbatia

    https://youtu.be/KR-GIPLXrqY?si=2TSg_Whbjy5Vdyny
Back
Top Bottom