Binafsi sijafurahishwa na sijui kitu gani kingine cha kufanya katika nafasi niliyonayo kama mwanafunzi kuzuia jambo hili kutokea tena zaidi ya kuandika hapa. Leo nimeshuhudia Lecturer wa hapa chuoni akimshushia kichapo kikali ikiwemo ngumi na vibao mwanafunzi mwenzangu hapa chuoni (DIT)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.