Habari zenu wanajf,,nakuja jukwaani kama kijana mjasiriamali anaechipukia,,nimekuja na biashara ya vitu vya mtumba kama vile SIMU,,,COMPUTERS,,,PLAYSTATIONS GAMES na vifaa vyake kama padi,flash,memory card,pia na cd zake,,pia nabadili mtindo wa ps2 na ps3 kutoka kutumia cd ili itumie flash,,pia...