Recent content by Street ICT

  1. S

    Street ICT

    Niliposema program nammaanisha uwasilishaji wa jambo nililokusudia Angalizo Street ICT lengo letu kubwa ni kuwashawishi na kuwapa wanafunzi wigo mpana tangu wakiwa shule waelewe kuwa kuna career nyingi tu ndani ya field ya computer.
  2. S

    Street ICT

    Asante
  3. S

    Street ICT

    Thanks tumeanza na dar es salaam kwanza. Upokeaj utakavyokua mkubwa na tutakapozidi pata connection na network ndo tutatembelea mikoa mingine
  4. S

    Street ICT

    Kama huna la kufanya kaa kimya Aliyekuambia hii ni biashara mpaka nipeleke huko unaposema ni nan? Kua mstaarab basi
  5. S

    Street ICT

    Habari waungwana Nimekuja kuitambulisha statups yangu hapa inaitwa Street ICT ni wazo nililoanzisha nikiwa chuo mwaka 2013 mwezi wa 10. Street ICT inajishughulisha na utowaji wa elimu hasa katika tehama katika shule za secondary na primary school.Pia kwa jamii na hata taasisi ambayo/ambazo...
  6. S

    Msaada:FORMULAR YA KUTAFUTA GPA KWENYE EXCEL

    =average(highlight the text/character you. want to apply)press enter Example =average(B2:G2)press enter
Back
Top Bottom