Jamani wana jamii,habari zenu.
Nimekuwa nikifatilia namna ya kuhost website na blogs.
Naomba msaada wenu,mnifahamishe hapa kidogo.
Hivi mtandao kama kupatana ,jamii forum wanafanya dedicated hosting au cloud hosting.
Na ina garim shilingi ngapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hv bongo hamna software enginers,madeve.
Kwakuwa mm sijui.
Naomba msaada iv ni wapi
Hawa soft eng.wa bongo huwa wanakutana ata wakaja na idea moja kubw.
Au kama kuna m2 ana link ya hawa watu wanapo kutana ebu anisaidie [emoji86]
Zuckerberg ni mtoto mdogo tu yule.
Ma developer wake wajipange tena kuwaza vzur.
Hii project anayo isema mbona watu tulisha iona kwenye mafile ya goole.
Tena walivo ona hainaga ushemela ndo waka iachia watu tuione waz.
Atafanikiwa lkn maana nothing is impossible under development.
Ila sio leo...
Habari zenu wanajaamii.
Kwa wale wenzangu mlio vizur katika android development.
Naomba msaada kwa mwenye ujuz wa namna ya kuwasiliana kati ya fragment mbili au zaidi (fragment communication) kwa kutumia interface.
Shukran
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.