Search results

  1. S

    Hosting

    Asante mkuu nmepata mwanga Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Hosting

    Jamani wana jamii,habari zenu. Nimekuwa nikifatilia namna ya kuhost website na blogs. Naomba msaada wenu,mnifahamishe hapa kidogo. Hivi mtandao kama kupatana ,jamii forum wanafanya dedicated hosting au cloud hosting. Na ina garim shilingi ngapi ? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Mark Zuckerberg: The end of smartphones and TVs is coming

    Hv bongo hamna software enginers,madeve. Kwakuwa mm sijui. Naomba msaada iv ni wapi Hawa soft eng.wa bongo huwa wanakutana ata wakaja na idea moja kubw. Au kama kuna m2 ana link ya hawa watu wanapo kutana ebu anisaidie [emoji86]
  4. S

    Mark Zuckerberg: The end of smartphones and TVs is coming

    Zuckerberg ni mtoto mdogo tu yule. Ma developer wake wajipange tena kuwaza vzur. Hii project anayo isema mbona watu tulisha iona kwenye mafile ya goole. Tena walivo ona hainaga ushemela ndo waka iachia watu tuione waz. Atafanikiwa lkn maana nothing is impossible under development. Ila sio leo...
  5. S

    Msaada kuhusu fragments

    Habari zenu wanajaamii. Kwa wale wenzangu mlio vizur katika android development. Naomba msaada kwa mwenye ujuz wa namna ya kuwasiliana kati ya fragment mbili au zaidi (fragment communication) kwa kutumia interface. Shukran
Back
Top Bottom