Recent content by story za eddy

  1. story za eddy

    Hot story

    https://m.facebook.com/StoryZaEddy iñgia kwenye hii link upate mendelezo wa Sorry madam na Tanga Raha
  2. story za eddy

    Hot story

    Bado ndugu fundi anadai imekufa proser na kidogo sipo powa kiuchumi kuitafuta nyingine, ndio najichanga changa hivi
  3. story za eddy

    Hot story

    TANGA RAHA 7 ILIPOISHIA Tukaagizia kifungua kinywa baada ya muda muhudumu akatuletea tulicho muagizia,Tukuwa katikati ya kula gafla Rahma akainama chini ya meza baada ya kuwaona wanaume wawili wenye asili ya kiarabu wakipita katika eneo tulilopo huku wakionekana kumtafuta mtuENDELEA Nikabaki...
  4. story za eddy

    Hot story

    Nicheki whatsapp 0657072588
  5. story za eddy

    Hot story

    Laptop yangu mbovu fundi anairekebisha
  6. story za eddy

    Hot story

    ***TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO*** FROM:C.E.O-EDDZARIA G.MSULWA Hi Ninapenda kutanguliza samahani, kwa wale nilio waunganisha kwenye magroup ya whatsapp, kisha sijapost story kama nilivyo waahidi.Kutokupost kumesababishwa na kuaribika kwa mashine yangu ya kuandikia(LAPTOP).Ambayo nimeisafirisha...
  7. story za eddy

    Hot story

    Powa ncheki whatsapp 0657072588
  8. story za eddy

    Hot story

    Tupo pamoha ndugu, hao ndio mashabiki bwana
  9. story za eddy

    Hot story

    Laptop yangu imehatibika juzi nimeituma mkoani kwa fundi wangu ikirudi kazi inaendelea kama kawa
  10. story za eddy

    Hot story

    Powa soma hiyo story nyingine ya TANGA RAHA
  11. story za eddy

    Hot story

    ****TANGA RAHA****(1)Age…………………………………..18+BY:EDDAZARIA G.MSULWA TEMBELEA PAGE YA STORY ZA EDDY KWA STORY ZAIDI **********************************TANGA RAHA**************************************** Ni siku ya utambulisho mbele ya wanafunzi wa shule ya sekondari moja jijini Tanga nikiwa mimi na...
  12. story za eddy

    Hot story

    Powaaa ngoja nianze kazi
  13. story za eddy

    Hot story

    Kuna kitabu changu cha MY MOMMY'S FRIEND kilitakiwa kitoke mwezi huu, ila kampuni niliyo fanya nayo kazi nimeilipa milioni 3 bado moja na nusu kama makubaliano ya malipo ya milioni 4.5, ndio naibangaiza hivi
  14. story za eddy

    Hot story

    Ila kuna story ya TANGA RAHA SIJUI HUKU MUMESHA ISOMA
Back
Top Bottom