Recent content by StillPx

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda kuabudiwa

    Nimekujibu ulichostahili na majibu yako ya hapa ni kuendelea kuprove kua ninachokisema kuhusu wewe ni ukweli, katibu hiyo Bipolar na trauma ulizonazo kwa wanaume that's why you're toxic when it comes in Men matters, bweka mitandaoni humu ila kwa ground Mumeo utamuheshimu atakukaza na hela...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda kuabudiwa

    Kwamba Kumwambia mtu usiyemjua anabwabwaja kisa mmebishana kwa hoja tayari ni sign of disrespect kama sio Baba ako au mama ako huwezi kumwambia kauli kama hiyo kwasababu unajua fika ni kumkosea heshima kumwambia mtu amechanganyikiwa hiyo ni disrespect ya pili sina haja ya kutoa evidence za...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda kuabudiwa

    Hiweza Huwezagi kujadili jambo bila kumdisrespect mtu hiyo ndo silaha yako kubwa Tumia akili acha kuropoka kama Mbwa, kuna sign yoyote ya hasira katika hoja zangu au wewe ndo mwenye Bipolar unahisi kila mtu akitetea hoja yake ni ana hasira na wewe. Nitajie mwanaume mmoja tu aliyewahi kusema...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda kuabudiwa

    Hakuna dini inayosema mwanamke amuabudu mwanaume ila kila dini inamtaka mwananmke amuheshimu mwanaume na mwanaume ampende mwanamke, nyie mmeshindwa kuheshimu mwanaume kwa kisingizio cha kwamba kumheshimu mwanaume ni kumuabudu UFEMINIST umewatawala, mmeshindwa kutofautisha kati ya heshima na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Why a woman lose interest in a man

    Siwezi tafuta hela kwa shida then nije kujua kama toto la mtu lina interest na mimi or not likiloose interest tu lisepe hazuiwi mtu tunaibembeleza pesa sio malaya📌
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda kuabudiwa

    Taja wewe ni Mungu wa dini ipi aliyesema mwanamke awe juu, kiongozi juu ya Mwanaume usitake kubananisha mada kama unajua hiyo dini iliyompa mwanamke mamlaka ya kumuongoza Mwanaume itaje hapa📌
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda kuabudiwa

    Na ni nani ambae anatakiwa kumhudumia, kumtunza mwenzake, usalama wa familia upo mikonon mwa nani, Kichwa cha familia ni nani,? shida yenu mkiambiwa muheshimu waume zenu mnasema hamuwezi kuabudu Mwanaume, wasimbe wamewaharibu.
Back
Top Bottom