Recent content by stier chris

  1. stier chris

    SoC03 Tatizo la udumavu au utapiamlo kwa watoto walio na umri chini ya miaka mitano hasa katika maeneo ya vijijini

    Ndio ni suala la elimu lakini katika maisha ya haswa maeneo ya vijijini watu wengi wanakumbwa na tatizo la umaskini hiyo inapelekea wazazi kushindwa kuwa pangilia watoto mlo ulio sahihi yani lishe bora zaidi watoto kuishia kula vyakula vya wanga tu ambavyo vinaenda kuwadumaza watoto wengi walio...
  2. stier chris

    SoC03 Tatizo la udumavu au utapiamlo kwa watoto walio na umri chini ya miaka mitano hasa katika maeneo ya vijijini

    Habari zenu wanajamii wenzangu wa JamiiForums , katika makala hii fupi ninayoandika ni kwa lengo la kuelimisha na kufundisha wazazi na walezi juu ya umuhimu wa lishe bora hasa kwa watoto wadogo walio chini ya umri wa miaka mitano katika maeoneo ya vijijini na hii itaweza kusaidia kutengeneza...
Back
Top Bottom