Recent content by Sticky

  1. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    hivi jamani, kwa akili ya kawaida inamaana hawa wanao soma private ngazi ya cheti na wana div.4 ina maana hawato pata ajira?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/682590-majina-ya-wanafunzi-walio-chaguliwa-kujiunga-na-vyuo-vya-ualimu-2014-2015-a-3.html#post10505061 https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/714003-chuo-cha-ualimu-maurice-dar-es-salaam.html#post10498485
  3. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Kuna hizo taarifa naona zinakuwa kwa kasi hasa humu jf katika thread nyingine na maeneo mengine je ni kweli wizara haita wadahili kusomea ualimu wenye div.4 32-34 kwa ngazi ya cheti? www.moe.go.tz
  4. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Ngazi ya cheti mbona hawaja chaguliwa?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    usijali, mbona amefaulu 4m4 vizuri pia kule nako kuna mtihani wa necta, hivyo usiwe na wasiwasi na wanao wataelewa tu!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kujiunga na Magereza au Uhamiaji

    sawa nimekupata
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kujiunga na Magereza au Uhamiaji

    nitakutumia hata vocha mkuu ukifanya hivyo, hzo nafas hutangazwa mwez wa ngap?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kujiunga na Magereza au Uhamiaji

    wamesha tangaza nafasi hzo mkuu?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kujiunga na Magereza au Uhamiaji

    Samahani sana wakuu, Ninaomba kufahamishwa taratibu za kujiunga na jeshi la magereza au uhamiaji kwa walio hitimu kidato cha nne mwaka 2013 Je nafasi zao hutolewa lini? Na mafunzo hayo hutolewa kwa muda wa ni miaka mingapi? NB:nijuze katika idara unayo ijua kati ya magereza na uhamiaji...
  10. S

    JamiiForums Tanzania NECTA to use GPA in evaluating Form IV and VI

    Asante kwa taarifa mkuu!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    Kwa hao watakao soma mafunzo rekebishi ngazi ya cheti watasoma miaka mingapi? Anae jua atujuze wakuu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    Ina maana waliopata div.4 32-34 hawata chaguliwa? Halafu mbona wamesha anza kusoma ktk vyuo vya private? Inamaana watakosa ajira
  13. S

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    ulisoma tangazo la wizara? Kumbuka kuna wenye div.4 32-34 wamesha anza kusoma katika private colleges...sasa wewe unataka kupindisha mambo au unatoka wizarani?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Ualimu Maurice, Dar es Salaam

    mkuu muda ni miaka mingapi kwa hao wa div.4?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    Hebu pitia hapo www.necta.go.tz The National Council for Technical Education United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training PMORALG | Prime Minister's Office - Regional Administration and Local Government
Back
Top Bottom