Mimi kwa majina naitwa Stewart simba nipo mwanza pia ni mwanachuo ktk chuo cha afya tandabui {tihest) nasomea utabibu(clinical medicine )diploma . Lengo la kuandika ujumbe huu ni kwamba nahitaji ushauri wa mawazo juu ya nini nifanye niweze kujikwamua kiuchumi na ukiangalia chuoni tunajitegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.