Naona kijana umekosa cha kuandika, mm nipo mwaka wa pili na cjawahi kuona shda ya maji km unavyoipigia debe hapa jukwaani, kama ndo umekuja jaribu kuuliza kuwa watu wanaishije ndo utafute cha kuandika nasio kukurupuka na kuandika upuuzi wako kama huu!!!
Hili si suala la kuchekea wala kuoneana aibu, hebu wenye dhamana wachukue jukumu la kufuatilia ili apatikane mwenye kosa na sheria zichukue mkondo wake mana hata katiba ya nchi hairuhusu unyama huu!!!!!!
Jaman wadau wana JF naombeni msaada kwa wanaojua zaidi kuhusu kozi hii kuwa m2 anapomaliza anaweza kufanya kaz gan na Degree hii inapatikana vyuo gani hapa Tz!!!!
Hapana kijana lazma utakua umekosea ki2 wkt unaupdate au hukukamilisha updation yenyewe na ukaishia nusu ila ile ni system inaweza kuleta era mda wowote 2 lakin lazma ww ndo una makosa ndo mana wanashndwa kukusaidia!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.