Recent content by Steve N

  1. S

    Karibuni zanzibar

    Ningependa kuwafahamisheni nyote kuwa Hoteli hii ya Rosal ipo kati sehemu yenye usalama wakutosha katika kitovu cha mji mkongwe huo wa Zanzibar. Ni muhimu kujua kwamba si mara yangu ya kwanza kufika Zanzibar kwani nilishakaa kwa muda wa miaka miwili huko Zanzibar kikazi. Kwa mtazamo wangu...
  2. S

    Karibuni zanzibar

    Asante sana Bi. Rose na Bw. Alnashir kwa mawaliko wenu. Nimefurahi sana kukuta post yenu katika Jamii Forum. Kama mtakumbuka, nilishawahi kufika katika hoteli yenu na nililala hapo siku mbili. Katika holidays zangu zote, sehemu niliyokaa na kujihisi niko nyumbani ni katika hoteli yenu kwani...
Back
Top Bottom