Recent content by Steve Jobs

  1. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Huwezi kuogopa kuwa kiongozi simply kwa sababu mzazi wako alikuwa kiongozi! Ni upuuzi! Na uchambuzi wote wa kunanga mpango huu unaonyesha wazi ufinyu wa fikra again phobia. Inafanya mtu aanze kuwaza huu uoga unatoka wapi!
  2. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Unahoji mifumo ya kibenki mfano TIB kutoa mikopo kwa taasisi za ndani ya nchi katika uwekezaji mfano BDC. Japo umeenda mbali na mada ambayo ni article ihusuyo initiative ya Makamba katika kupambana na rushwa lakini si mbaya ukifahamu kwamba BDC imeanzishwa kisheria, inaendeshwa kwa faida ambayo...
  3. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Mkuu Astrophysics chuo gani hapo Canada? Less than 8 Canadian universities offer a PhD in Astrophysics. Tujuze nasi tujaribu kushare na wenzetu habari njema za kutuma maombi. By the way kama unafanya PhD ya Astrophysics, chances are 100% second degree au hata undergrad hujasoma Bongo!
  4. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Kama wapi? Kamati ya Nishati na Madini? Mikataba ya Gesi? Seriousness ya kwanza ni kukataa rushwa! Ambayo January kaionyesha. Kashfa nzito Wizara ya Ngeleja MAOFISA WA JUU WATUHUMIWA KUIHONGA KAMATI YA MAKAMBA Monday, 04 July 2011 WIZARA ya Nishati na Madini imeingia katika kashfa nzito...
  5. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Babu hakuna mbunge wa hii nchi anaweza kuhonga kuandikwa The Guardian, The Economist au hata Africa Report! You have to do something to get there. A mere fact kwamba umeanza kwa kubeza makes your whole comment biased. By the way, project ya kusaidia kupunguza kuoza kwa matunda shambani...
  6. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Hii signature yako inakupotosha. Kukaa kimya ni muhimu at times.
  7. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    CCM si chama cha mtu mmoja. Overhauled system can begin with him na sasa we have all seen how many young people an inspire! SAUT tumeona mikutano yake, Wahitimu vyuo vikuu Dar, VETA na Ushirika Moshi, YUNA Tanzania, etc. Ni suala la muda. Effect ya January inaonekana. All this discussion...
  8. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Ana mwelekeo. That matters the most. Wengine tumeona wazi wazi wakichukua hadi vijisenti vya Wabunge wa Afrika Mashariki!
  9. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    It's pathetic how this whole stuff inakwenda personal tena mchangiaji by mchangiaji. Jamaa mwenyewe angekuwa anasoma angecheka sana kwa idadi ya vichwa panzi wanaomshambulia. Wait, hivi umesema una PhD ya wapi tena?
  10. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    PhD za Manzese! Nimekumbuka mkuu!
  11. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Leo nahisi unatamani kulia! Hebu taja Development Trust 3 tu zilizo na action plan kama ya Januari. Tatu tu! Nasubiri.
  12. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Unless you describe this within concrete facts that all who are against this brilliant champ have failed to do then anything that you say below this thread ends up as a hearsay. Really? A PhD candidate? Zero premises argument? With a blind conclusion?! Ulifikaje huko kwa PhD?
  13. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Don't argue about kwamba amejiandaa vipi to hedge against a plunge. Unadhani angeanza utekelezaji bila maandalizi?
  14. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Don't argue about kwamba amejiandaa vipi to hedge against a plunge. Unadhani angeanza utekelezaji bila maandalizi?
  15. Steve Jobs

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Hoja za hasira. Wewe unayempiga vita kakunyang'anya mwanamke au wewe mwenyewe ni mwanamke aliyekukataa? Unamchukia mtu hadi unashindwa kuvumilia?
Back
Top Bottom