Yaani nimeona hiyo picha ya watoto wa shule nimesikitika sana , nimekumbuka watoto wetu walioko shule za kiserikali na wazazi tupo bize kutafuta ridhiki jampo tuwape kidogo tulichonacho lakini mwisho tunawaacha katika mazingira magumu🥲 ya kimalezi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.