Nianze kwa kukushukuru kwa mchango wako,naamini huna changamoto ya kupata mtoto,kwa kifupi kukosa nguvu ya kupata mtoto naweza sema ni umaskini pia lakini kwa upande wa watoto,inamaana inaumiza Sana kwanini Mimi nisipate watoto unakuwa unateseka na hata kisaikolojia kuathirika.na mtu wa Hali ya...
Hongera! Mimi ninahitaji Mwanaume asie na uwezo wa kupata mtoto kwakuwa na Mimi ninachangamoto ya kutopata mtoto.nina miaka 41, education degree level,sina mtoto,mucha mungu,naamini yupo mwanaume ambae anapito ninalopitia mimi.niweke wazi si Jambo rahisi likikukuta,hivyo yule mwanaume serious...
Habari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana.
lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji mwenza.nina miaka 41, nina degree.mume awe mcha Mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.