Recent content by stefanoz

  1. stefanoz

    JamiiForums Tanzania Unamjua Angelina Ngalula? Ndio mwanamke wa kwanza kumiliki treni yake Tanzania

    Unakumbuka vichwa vya treni vilivyookotwa na Magufuli? Soma https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/-vichwa-vya-treni-vyaibua-utata--2855864
  2. stefanoz

    JamiiForums Tanzania Hawa wasemaji wa vilabu vya soka ni njaa au taaluma mbovu?!

    Hiyo ni idara ya propaganda ya timu. Usitegemee sana kusikia mambo technical, otherwise wewe ndio ujui haya mambo vizuri inakubidi ujifunze.
  3. stefanoz

    JamiiForums Tanzania Ujumbe mzito wa Farhan kwa Eng. Hersi Said

    Awakuachwa waliuzwa. Ijue tofauti ya kumuacha mtu na kufanya biashara.
  4. stefanoz

    JamiiForums Tanzania 7 Best Websites for Finding Jobs in Tanzania: Where Should Job Seekers Look?

    Unaifanyia promotion No 2.
  5. stefanoz

    JamiiForums Tanzania Unamjua Angelina Ngalula? Ndio mwanamke wa kwanza kumiliki treni yake Tanzania

    Anamiliki pia bandari kavu za Bravo. Nafikiri ndio bandari kavu kubwa zaidi kwa sasa.
Back
Top Bottom