Recent content by Stefano

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hivi sijaelewa au ni utapeli?

    Jaza form kama kutakuwa na lolote huko mbeleni tupe update tutaweza kuwa na fununu juu ya hilo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Chuo anahitajika Haraka

    Mbona swali la MINJA halijibiwi au ndio magumashi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania we need a project cordinator

    Sound interesting! See you at interview
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu japo ushauri nina certificate of procurement and logistics.

    Nafikiri kwa asilimia kubwa waweza pata majibu. Jaribu kutafakari na kuangalia fulsa kadhaaa za ujasiliamali
  5. S

    JamiiForums Tanzania tabia mbaya ya kuchoma moto cv za watu secritary wa TBL mbeya

    Hiyo tabia ipo ofisi nyingi hususani pale watu wanapokuwa na jamaa zao wameomba. Wanafanya hivyo kupunguza ushindani
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

    Sasa mbona watu wote mmewaandikia email ya mchango? ina maana wote wanakidhi kuitwakwenyeusaili?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kaa Chonjo: Kazi:Tanzania International University ni Utapeli tupu!!!!!!

    Hawa TCu wanasubiri maandamano ndio watoe tamko lao juu ya hiki chuo?
Back
Top Bottom