Sijaandika yote ila ni makubwa mno nimeshindwa kuandika yote maan wanaweza jua ni mimi ila nina mengi sna sana na mazito kuliko unavyofikiria nahitaji guidance tu nifanye nini katika hii situation niliyo nayo.
Ndugu ninao ila sio wakutegemea hata nikisema niende kwa shangazi ni kazi bure maan mama anasema napeleka maneno huko ninaweza kaa siku mbili anapiga simu nakutaka nirudi nyumbani naelewa mimi bado mdogo najua nakosea ila nayopitia sidhani kama wanaelewa mimi bado ni mdogo ninayehitaji kuelekezwa.
Ushauri pia muelekeo. Naogopa sana. Sijui nifanye nini leo mpaka naadika hapa maneno yamekuwa mengi. Naogopa mno I need guidance jamani, naombeni mnielewe.
Shida sio miambili mimi ni mtu wa kuridhika sana tena sana ila kuna mengi mno mnoo shida sio hela hata kidogo ila nahitaji tu mtu wa kuongea na mimi jamani atleast nichukue hatua gani ila kuhusu hela wala hata siko huko.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi ni msichana mdogo tu tena sana ninapitia shida sana sana sana sana jamani jamani natamani nife tu jamani ninaishi katika familia ya mateso sana jamani sio mwandishi mzuri lakini ngoja nijaribu.
Nimezaliwa katika familia nzuri kiasi nimesoma shule nzuri tu. Primary nimesoma St. Mary’s...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.