Recent content by starmoon

  1. S

    BAKWATA ichunguze Msikiti wa Kingo unaojengwa Morogoro

    Nyie wote labda kwa namna moja au nyingine hamujanielewa.dini ya kiislamu,waulizeni maulamaa na masheikh wakubwa wenye elimu ya kiislamu.Imamu ni lazima awe mwadilifu,asiwe mzinifu,n.k ndio maana anakuwa na CV.Sio kila mtu anakuwa imamu kama afanyavyo huyu,isitoshe anao vijana wengi waliosomea...
  2. S

    BAKWATA ichunguze Msikiti wa Kingo unaojengwa Morogoro

    Asalaam Aleykum warahmatullahi wabarakatu. Kwa heshima na Taadhima, nawaomba Baraza la malumaa pamoja na Mwenyekiti wao wauchunguze msikiti huu wa Kingo uliyopo Morogoro ambao hivi sasa upo kwenye ujenzi.Nawapongeza sana kwa hatua waliofikia. Tatizo kubwa la msikiti huu pamoja na kuwa na imamu...
Back
Top Bottom