Recent content by star_tz

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua

    Inategemea, maana siku hizi vyuo huwa vinawasilisha matokeo NACTE na wao wanayaweka kwenye database yao, na ndio maana unapoandika namba yako uliyosajiliwa nayo chuo ulichotoka wanakuruhusu kuendelea kuchagua vyuo unavyotaka kwenda. Labda miaka ya nyuma ndo ilikua lazima ku scan matokeo yako.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tunaendea kujizama

    ATC yatoa majina ya undergraduate 2015/2016, tembelea ARUSHA TECHNICAL COLLEGE : Skills make the difference
Back
Top Bottom