Recent content by STAPHORD MJ

  1. STAPHORD MJ

    Msaada: Kakataliwa kuomba chuo kisa ufaulu wa kidato cha nne

    ok,kwa maana hiyo hapo hakuna namna ya kuweza kupata chuo kwa mwaka huu
  2. STAPHORD MJ

    Msaada: Kakataliwa kuomba chuo kisa ufaulu wa kidato cha nne

    ok lakini huyu yeye aliomba CUoM na RUCU ndo wamemwambia kuwa hana sifa ya kidato cha nne hali ya kuwa kidato cha sita ana sifa ya hizo point 4
  3. STAPHORD MJ

    Msaada: Kakataliwa kuomba chuo kisa ufaulu wa kidato cha nne

    Ndugu yangu amefanya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu kama Private Candidate na kufaulu kwa DIV 3 ya point 13, lakini cheti chake cha O-leve ana ufaulu wa masomo matatu tu yaani ana C za masomo matatu t. Amejaribu kuomba chuo kimoja wamemwambia kuwa hana sifa kutokana na huo ufaulu wa...
Back
Top Bottom