Recent content by StanWhizz

  1. S

    Jinsi ya kumudu furaha katika maisha

    Ni ngumu kurudi zama za nyuma lazima kujifunza kukabiliana na hali na kasi ya mabadiliko ya kijamii.....😁
  2. S

    Jinsi ya kumudu furaha katika maisha

    Ili kushinda hili lazma ujifunze kuto jionea aibu Kwa vitu vilivyo nje ya maisha Yako asee😁
  3. S

    Jinsi ya kumudu furaha katika maisha

    KATIKA MAISHA ILI UWE NA FURAHA LAZIMA UTAMBUE: *Katika kupoteza, Kuna kujifunza. Chukulia kwako ni funzo Songa mbelee... *Katika kushindwa, Kuna fursa. Ukishindwa hapa, ni fursa ya kuanzisha safari nyingne, we Songa mbelee... *Na hakuna tatizo lisilo na majibu. Tafuta chanzo, na jua udhaifu...
Back
Top Bottom