Recent content by stakehigh

 1. stakehigh

  Watalii 1.5 bilioni duniani, Tanzania nchi ya pili kwa vivutio asilia duniani inaambulia watalii chini ya 1m kwa mwaka

  watu wengi sana hawajui serengeti, hata uku uku tanzania kuna watu hawaijui! hata huo mlima the same story, kutanganza ndo kunahitajika mengine yapo kawaida tu - and on the same time preference znatafautiana kuna wengine wanapenda utalii kupanda milima tu haswa mirefu, wengine mambo ya kale tu...
 2. stakehigh

  Shaka na amsha amsha ya CCM mashinani

  mshahara haujapata nn maaana umeongea kwa uchungu sana
 3. stakehigh

  Kibaha: Jogging ya BAWACHA yapigwa stop na Polisi

  eeeh mkuu tunawajua vizuri bawacha kwahio kipigo chao kipo karibuni, vp hujaungana nao?
 4. stakehigh

  Serikali ya awamu ya tano ilikusanya kodi Trilioni 1.3 kwa mwezi, leo awamu ya sita yakopa fedha hizohizo kutoka IMF kwa matumizi yaleyale

  yes mkuu! we imagine mtu anataja mbinguni alafu at same time anasema lowassa hoyee? just imagine
 5. stakehigh

  Serikali ya awamu ya tano ilikusanya kodi Trilioni 1.3 kwa mwezi, leo awamu ya sita yakopa fedha hizohizo kutoka IMF kwa matumizi yaleyale

  mradi gan huo alisema tunajenga wenyewe kukawa na bango la mfadhili?
 6. stakehigh

  Serikali ya awamu ya tano ilikusanya kodi Trilioni 1.3 kwa mwezi, leo awamu ya sita yakopa fedha hizohizo kutoka IMF kwa matumizi yaleyale

  sasa ndo nn umeongea mdogo wangu: - In 2020, the total revenue of the U.S. government sum up to about 3.42 trillion U.S. dollars and consist of individual and corporate income taxes, payroll taxes and other taxes. Individual income taxes totaled up to 1.6 trillion U.S. dollars in 2020, whereas...
 7. stakehigh

  Serikali ya awamu ya tano ilikusanya kodi Trilioni 1.3 kwa mwezi, leo awamu ya sita yakopa fedha hizohizo kutoka IMF kwa matumizi yaleyale

  hapana mkuu bora tuwape mgombea tena bila hivo watu watakua hawawaskilizi
 8. stakehigh

  Serikali ya awamu ya tano ilikusanya kodi Trilioni 1.3 kwa mwezi, leo awamu ya sita yakopa fedha hizohizo kutoka IMF kwa matumizi yaleyale

  hata awamu ya tano mbna mikopo wamechukua sana ama kuna cha kushangaza apo?
 9. stakehigh

  Hayati Dkt. Magufuli aliletwa duniani mahsusi na Mungu ili kuleta masomo fulani tujifunze

  ungemsifia tu mbowe, unachojaribu kuaminisha watu its impossible
 10. stakehigh

  Zijue njia kuu wanazotumia CCM kubaki madarakani

  punguza njaa mdogo wangu!
 11. stakehigh

  Zijue njia kuu wanazotumia CCM kubaki madarakani

  shida zinakusumua aisee, ebu peleka njaa kule
 12. stakehigh

  Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

  🤣 🤣 🤣 kilichoshusha bei za bando sio mitandao ni kitu kinaitwa MKONGE WA TAIFA: nchi nyingi ukanda huu zna bei ndogo kwa sababu ya tanzania mfano, rwanda, burundi, DRC, zambia & malawi zote znatumia mkonge wa tanzania kufika baharini - na sio data tu mpaka umeme nchi nyingi znanunua kwetu
Top Bottom