Recent content by StaceyD

  1. StaceyD

    Natafuta chumba single self,moshono arusha

    Habari zenu wadau,hasa wakazi was Arusha. Naomba msaada mwenye kujua,natafuta single self budget 80k isizidi 100k maeneo ya moshono,nikipata nyumba ikiwa mpya,ina geti itakuwa POA zaidi
  2. StaceyD

    Vacancy: Reservation Assistant

    Mm natafuta kazi japo sijasomea tourism or hotel management, lkn Nina amini naweza ku fit hiyo vacancy nikipatiwa training kidogo
  3. StaceyD

    Natafuta kazi Arusha

    Sio kweli, kwenye watu wengi hapakosekani wachache wema!
  4. StaceyD

    Natafuta kazi Arusha

    Sales,marketing,receptionist,office administration,customer service etc
  5. StaceyD

    Natafuta kazi Arusha

    Kijenge
  6. StaceyD

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Sex:female Education:certificate of human resources Location:Arusha
  7. StaceyD

    Natafuta kazi Arusha

    Habari zenu Natafuta kazi ya ofisini lakini pia nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,mimi ni mwanamke,naishi arusha,nina miaka 33, elimu yangu ni certificate of human resource. Natanguliza shukrani zangu.
Back
Top Bottom