Katika kipindi hiki cha cha uchaguzi, mafanikio ya vyama vya siasa na wananchi kwa ujumla wake yatafikiwa kwa kufanya political action. Ni makosa makubwa kufikiria kuwa nchi yetu itarudi kwenye mstari wa kuheshimu sheria, kuheshimu misingi ya demokrasia, kuheshimu utawala bora na kuheshimu haki...
Maneno kama haya nina hakika bado yapo kwenye mioyo na roho za uuaji za watu ambao Tundu Lissu amesema people at the top are no longer thinking and acting rationally
Kuna watu wanaonekana kuheshimika sana na wanawauasi wa kutosha kwenye mitandao fulani ya kijamii. Mtu anasema Lissu arudi Tz kwa sababu wasiojulikana kuhusika na kutaka kumuua Lissu wameisha. Eeeh, kweli wameisha? Vipi wale alivyoambwia yeye mwenyewe kuwa "people at the top are no longer...
Acha kupotosha, historia yake kutetea wananchi wanyonge iko wazi sana, hana tamaa za kishamba za fedha na vitu. Lissu anathamini ubinadamu kuliko vitu na pesa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.