Recent content by SSH Anawajibika

  1. S

    LGE2024 CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

    Ni Samia Tena na Demokrasia, Aagiza Wagombea Walioenguliwa kwa Makosa Madogomadogo Majina yao Yarudishwe Na Joseph Bulebe, Dar es salaam Rais Samia Suhuhu Hassan ameendelea kuonesha ulimwengu na watanzania kwa ujumla kuwa demokrasia ndo kitu cha msingi katika uongozi wake unaofuata utawala...
  2. S

    CHADEMA ni Kama Sikio la Kufa

    CHADEMA ni Kama Sikio la Kufa Msemo maarufu wa wahenga usemao Mfamaji haachi kutapatapa, unaakisi hali halisi ya Chama Cha Maendeleo na Demokrasia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na hata uchaguzi mkuu wa 2025. Ninashangaa kauli za viongozi wa CHADEMA kulalamikia kuenguliwa kwa wagombea...
  3. S

    LGE2024 CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyang’anyiro cha serikali za Mitaa

    CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyang’anyilo cha serikali za Mitaa Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani. Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA) na wagombea wao kwa Kuenguliwa katika...
Back
Top Bottom