Recent content by SPOTLESS CAVE

  1. S

    JamiiForums Tanzania Fremu inapangishwa Ubungo karibu na stand mpya

    Hapana napokea miezi 10
  2. S

    JamiiForums Tanzania Fremu inapangishwa Ubungo karibu na stand mpya

    Mi ni mpangaji so ni kama nauza mkataba ila nakukutanisha na mwenye nyumba pia.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Fremu inapangishwa Ubungo karibu na stand mpya

    Chumba cha fremu ya biashara kipo maeneo ya ubungo karibu na stand mpya na pia ni karibu na chuo cha Sheria (UDSM Law School) tsh 150,000/- kwa mwezi. Anayehitaji. Tuwasiliane 0772 883 566.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Spotless Cleaners Company: Kampuni ya Kitanzania inayotoa huduma ya usafi

    SPOTLESS CLEANERS COMPANY.. Inahusika na nini? Ni kampuni ya Kitanzania inayotoa huduma ya usafi katika sehemu zifuatazo: Usafi wa Ofisi zote Usafi katika maeneo ya Viwanda na Biashara Usafi wa Masoko Usafi wa Barabara kubwa na Ndogo Usafi katika Maeneo ya vyuo na shule Uandaaji na...
Back
Top Bottom