Sema unatumia lugha Kali saana kuonesha ww unajua saana but ungeongea kawaida tuu ,,maana limeulizwa swali kama ww hujui au huamini piga chini sasa cha ajabu nini hapo km mtu anaagiza kutoka njee na anauza nguo au vifaa vya umeme Kwa bei ya jumla?!!!
Duuh wejamaa umeamua kuwa mpumbavu inabidi tukuache na upumba wako kweli wasomi wetu ni baadh Yao ni pumba sasa hapo unaona cha ajabu nini mi nimesoma na watu mpo advance wap wanamiradi hom wengine wamefuga kuku,wengine mashambaa kuanzia hapo nikaamka nakuacha kujiona mtt sasa ww kama ulikuwa...
Kama unamtaji wakutoshaa nunua na gar (tipa au center) Kwa ajili ya kusambazia tofal na kuleta mchanga sait hapo utakuwa umefanikiwa 75 percent ,,, speaking with experience [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Maana ya kumwambie amtaje mwandish wa huo Uzi ni kwamba awasaidie watu wapate madini mengine kutoka Kwa mwandishi halis wa hiyoo kitu na jamaa ni mwandish wa vitu vingi sio hiyo tuu ulioletewa huku,,,harafu ndugu elim sio darasani tuu popote unaweza kujifunzaa na nimemwambia ukweli tuu juu ya...
Uzi mzurii,,,,ila ungetoa shukran Kwa Sirjef Denis ambae aliuandika kule twita kisha wewe ukaukopi pengine watu watajifunza mengi kuhusu yeye maana hata katika thread hii maswali mengi kutoka Kwa watu unashindwa kuyafafanua kwa7bu sio mawazo yakoo umefanya kitu kinaitwa plagiarism "wizi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.