Recent content by SottoLee

  1. S

    SoC04 Huduma za TRC Mpya zisiwe za ubabaishaji!

    Hakika ndugu, dhana ya kula kwa urefu wa kamba umeyaangamiza Mashirika ya Umma, kihistoria. Tukiendelea hivyo, hata TRC hii itakufa tu, tuombe Mungu....!
  2. S

    SoC04 Huduma za TRC Mpya zisiwe za ubabaishaji!

    Hivi karibuni jijini Dar es salaam, tukiwa tunapambana kuingia ndani ya basi la Mwendokasi lililokuwa ‘limeshona’ abiria, nilimsikia mwenzangu mmoja akisema kwa uchungu, “Kama Mwendokasi inatutesa namna hii, hiyo treni ya SGR si itatuua kabisa?” Nilibahatika kuingia, lakini yeye hakufanikiwa...
  3. S

    SoC04 Mkakati huu una tija zaidi katika hifadhi endelevu ya misitu

    Ndio, huu ndio mkaa mbadala. Haupatikani kwa wingi, kwa kuwa wengi hawajaujua. Lakini, wazalishaji wengi kwa sasa ni wale wenye uwezo mdogo, hivyo huzalishwa kwa uchache. Serikali ikiamua, teknolojia hii itasambaa hadi vijijini, kuwafikia walio wengi, na kuwahamisha kutoka ktk matumizi ya kuni...
  4. S

    SoC04 Mkakati huu una tija zaidi katika hifadhi endelevu ya misitu

    Kuna nchi ninayotamani kuona ikijengeka, tena kwa kasi. Hii ni Tanzania iliyosheheni miti, misitu na uoto mwingine. Ili kuipata nchi ya aina hii, tunapaswa kutengeneza mikakati madhubuti, na kuisimamia ipasavyo. Kama nchi nyingine, Tanzania imeshuhudia changamoto kubwa ya mabadiliko ya tabia...
Back
Top Bottom