Habari wadau, naomba msaada kwa anaesomea chuo cha ualimu Rukwa au aliyewahi kuhitimu mafunzo ya ualimu grade A pale, nahitaji kujua gharama yake ya ada kwa mwaka huu 2014/2015 nahitaji kujiunga na chuo hicho,naombeni msaada ndugu zangu.
Tumuombe Mungu tu kaka hata mimi nasubiri,point ya msingi kuwa mvumilivu kwani mvumilivu hula mbivu,kaka tetesi ni kwamba wiki hii wanaweza wakatoa tusubiri tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.