Recent content by Sordo

  1. Sordo

    Masai land grab --- at CNN in few minutes

    Tanzania's Maasai fight government, game hunters for ancestral lands - CNN.com
  2. Sordo

    Kuvamiwa kwa Lema: Maongezi yangu na RPC & Barua kwa Mkuu wa Mkoa Arusha

    Wewe mbeba mabox kalale tu maana inaelekea hujui tension za sisasa za arusha ndio maana unaleta mzaha kusema wamemtembelea. Kutembelea gani na mabomu ya machozi? Tumiwa walao 1% ya ubongo wako kufikiria!
  3. Sordo

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    Bora iwe hivyo mkuu
  4. Sordo

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    Huo ndio ukweli uliopo sasa wamepiga target mbaya
  5. Sordo

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    Chadema iko makini kuliko CCM na serikali yao, na wako kila mahali wathubutu waone. Wajue Arusha ni Tairrir square ya Tanzania
  6. Sordo

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    Nakubaliana na ww mkuu maana huyu jamaa nadhani anataka tumu serukamba
  7. Sordo

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    Kwa kweli ila watajuta kumvamia kamanda lema usiku huu
  8. Sordo

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    sasa kama walidhani wakivamia usiku ndio wataepuka dhali ndio watajua usiku huu nn maana ya nguvu ya umma
  9. Sordo

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    Umenena kamanda
  10. Sordo

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    Hakuna mbeba mabox ambaye anaweza kuwa na reasoning capacity ya kufanya analysis ya maana.
  11. Sordo

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    Kamanda endelea kutupa updates, wamechokoza machalii ya r chugar watakoma
  12. Sordo

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    sasa naona ccm wameamua kuwachokoza machalii ya r, Huyu RC atajutia maamzi yake
  13. Sordo

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    Kamanda asante kwa taarifa, sasa wamevunja geti au imekuaje? Je wamemtoa kwake kumpeleka polisi?
  14. Sordo

    Bungeni: Halima Mdee aambiwa anacheza 'mbwa kachoka'

    Mkuu mbona unataka kutu Serukamba????????????????? taratibu usije kula ban
  15. Sordo

    BBC News: Wamasai zaidi ya 1,000 (Loliondo) watupilia mbali kadi za CCM!

    kauli mbiu ya waamasai wa Loliondo ni hii "Ardhi yetu ndio chama chao kwa sasa" "We don't belong to a party, our party is our land" Maasai Women Taking Bold Stance to Protect Land Rights | African Initiatives
Back
Top Bottom