Recent content by SongelaeliPY

  1. SongelaeliPY

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutotoreshea vifaranga

    Na mayai unageuza kwa mkono kila baada ya masaa nane means kwa siku unageuza mara tatu
  2. SongelaeliPY

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutotoreshea vifaranga

    Katika 150 kama ukifuata maelekezo vizuri unazalisha sio chini ya 130
  3. SongelaeliPY

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutotoreshea vifaranga

    Sio lazma ununue sisi kama wanajamii tunajuzana tunaelimishana kama hitojal nichek tubadilishane mawazo,,mpaka sasa nimeona matunda yake hao nimewapata kupitia mashine hyo
  4. SongelaeliPY

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutotoreshea vifaranga

    Mwadela bhabha msukuma unazingua,,sio kila mtu mtapeli Picha ya mashine ni hii hapa ni rahisi sana kutumia nicheki kwa hiyo namba kwa ushauri na elim kwa ujumla hata kama hutashawishika kuipata
  5. SongelaeliPY

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutotoreshea vifaranga

    Bei ni kulingana na wewe unataka ya mayai mangapi kama hiyo inapakia mayai mia na hamsini inapatikana kwa laki mbili tuu
  6. SongelaeliPY

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutotoreshea vifaranga

    Mi mkazi wa dodoma,,kuna mashine za kienyeji zimegundulika kwa ajili ya kutotoreshea vifaranga zinapatikana kwa urahisi sana na zinatotoa kwa kiwango kikubwa sana,, Kama kuna mtu anahitajibmaelezo zaidi anicheki kwa 0765144741
Back
Top Bottom