Kama Mtunga sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa naye ni mla rushwa mkubwa, je nini atma ya sheria hizo wanazotunga? mnaonaje kama sheria hizo zikafutwa na kutungwa upya sababu hazina makali yoyote maana waliyo zitunga walijipa unafuu wao ili wakikutwa na makosa kama hayo wasiweze kuadhibiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.