Recent content by solonierson

  1. S

    JamiiForums GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    we acha uongo,sie hapa ndo tuko igunga,ukweli ni kwamba CUF walipangia kuanza maandamano yao ya kurudisha form saa saba na CDM saa nane mchana, ila cha kushangaza CUF kwanza hawakupeleka form yao katika muda uliopangwa na pia walienda kupaki gari lao la matangazo karibu na office ya CDM kama...
  2. S

    JamiiForums CUF kutumia Helikopta (chopa) ktk kampeni Igunga

    kirungi umechemka sana! Mgombea wa CDM ni mzawa wa igunga! CUF kuchukua jimbo la igunga NI NDOTO YA BUNUAZI AIOTAYO MCHANA KWEUPE! TENA JANGWANI.
Back
Top Bottom