Recent content by Solo Manoni

  1. S

    JamiiForums Re-categorization

    Mimi ni mwalimu nimesoma induction course (yaani leseni ya kufundishia sekondari) baadaye nimejiendeleza na kupata degree ya mipango, mwajri wangu anagoma kunibadilishia kitengo kwa madai kuwa utaratibu lazma ningesoma ualimu. kwa anayejua taratibu za recategorization anisaidie.
Back
Top Bottom