Recent content by SolidMe

  1. S

    KERO Malalamiko kuhusu Uhaba wa maji Bulale, Mwanza kwa takribani miezi mitatu sasa

    Naomba kuwasilisha kero kuhusu changamoto ya upatikanaji wa maji katika eneo la Bulale, Mwanza. Wananchi wa Bulale tumekuwa katika hali ya ukosefu wa maji kwa takribani miezi mitatu sasa. Licha ya jitihada za mara kwa mara za kuwasiliana na watumishi wa MWAUWASA, tumekuwa tukiambiwa mara kwa...
Back
Top Bottom