Recent content by Solareclipse2

  1. S

    JamiiForums Tanzania Sony experia Z 2G

    Sikuifanyia makeke mkuu haikupaswa kutumika nchini Tanzania. Nimeweka wazi tatizo hili ili mtu atakayehitaji ajue simu ipoje kuliko kumushikisha mtu bila kujua.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sony experia Z 2G

    Ina hali nzuri sana. Imetumika wiki 1 ipo na charger yake. Inasoma 2G(E) tu. Bei ni 330k maelewano yapo Tuwasiliane 0657233029 Ahsanteni
  3. S

    JamiiForums Tanzania HTC one m7 used

    Pata htc one m7 used kwa 400k. Imetumika mwezi mmoja tu. charger yake ipo safi kabisa. Napatikana Daresalaam, Kwa mawasiliano zaidi 0657233029 Maelewano yapo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Brand new Sony Exp Z and Samsung S3

    Mkuu nichek kwa namba hapo juu tufanye maelewano tu usijali
  5. S

    JamiiForums Tanzania Brand new Sony Exp Z and Samsung S3

    nipo daresalaam mkuu, delivery kama upo dsm ntakufanyia bure kabisa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kwenda navyo JKT

    Nilikuwa huko mwaka jana. Pana raha yake, mimi leaving sikubeba nilikuwa na cheti cha kuzaliwa. Shida yao ni kuhakiki majina tu kuoitia hvyo vyeti kwa mujibu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Brand new Sony Exp Z and Samsung S3

    Ndio mkuu ni waterproof
  8. S

    JamiiForums Tanzania Brand new Sony Exp Z and Samsung S3

    Pata original na simu mpya. Sony experia Z kwa 450k Samsung galaxy S3 kwa 280k Contacts 0657233029 Karibuni sana
  9. S

    JamiiForums Tanzania Brand new htc one m7

    Mkuu hyo bei inaua sana yaani. Mwisho kabisa 450k wakuu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria

    Hii ni mujib wa sheria kidato cha sita. Kama kwa wenzetu wa ualimu watapelekwa labda mwezi wa 9. Kama mwaka jana ilivyokuwa mkuu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria

    Hizo link zilifunguka jana mapema, baadae zikatokea hvo hata mwaka jana lilitokea hili ila kuruta huwa haamini amini... Mimi mdogo wangu amepangwa msange tabora,, mwingne humu jf makutupora ila sasa hv zinasumbua. Vuteni subira
  12. S

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria

    Mm pia mdogo wangu jaffary suleiman kapangiwa msange tabora ila sasa hv web yao haifunguki. Waliowah wameona majina yao
  13. S

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria

    Mkuu emu waeleze wewe labda.. Hata mwaka jana ilifungwa almost 3 days nakumbuka baada ya kutangaza majina ikawa inasumbua takriban siku 3... Ila ikakaa sawa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Brand new htc one m7

    Mkuu offer yako ni 300k au?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria

    Kunywa maji mengi tu subiria
Back
Top Bottom