Recent content by Sokozina

  1. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla

    Ila chama tawala kiliahidi kuhamisha madiwani,wabunge, kuzindua miradi ya zamani,kutumia polisi kisiasa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Afrika tuna cha kujifunza kutoka China na Ujerumani, je kuna haja viongozi wazalendo kuongezewe muhula?

    Amefanya nn mkuu zaidi ya kuvuruga kila kitu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Yule kada wa ccm aliyempa nauli kuripoti polisi alidanganya umma? Huyu mwanafunzi aliwezaji kujisafirisha usiku wa maneno na kufikia kuokotwa akiwa hajitambui? Alitumia dawa gani ilimpoteza fahamu mpaka kutojitambua alipo?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwigulu anavyomwita Mtanzania "Kinyago" ana uhalali wa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani?

    K Kwani hao viongozi wanaotoa kauli gongana kila kukicha wanatolea mahakamani?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Wampe nafasi huru ya kuelezea kilichotokea kwann kila kukicha kumsemea?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Duh, we MTU umeandika nn?ni njaa na kujipendekeza kwenye uficho wa maoni au
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwigulu anavyomwita Mtanzania "Kinyago" ana uhalali wa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani?

    Mpeni nafasi huyo kinyago ya kuongelea kilichotokea siyo kumtisha kuficha ukweli
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la mwewe lamnanga Zitto ...yeye auchuna!

    Mkuu zito hakusanyi kodi, kwa jicho LA tatu naona unamnanga zito kwa kumpinga mwenyekiti wako ambayo kiuhalisia alisema amesukumiziwa uraisi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Mkuu uchunguzi bila hata suspect kuweka chini ya mahojiano?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Jibuni hoja za msingi kuhusu sababu za Maandamano, tusiwatishie raia tuu hakutasaidia kitu

    Ajira Hamna, mazingira magumu ya watumishi was umma, kodi kubwa za biashara, mikopo ya elimu ya juu, hali mbaya ya huduma za afya
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ikigundulika Abdul Nondo amedanganya kuhusu sakata la kutekwa anaweza kupata àdhabu gani kisheria?

    Je akipewa Uhuru wa kuelezea tukio na kuthibisha kuwa ametekwa, vyombo husika vitawajibika au upelelezi utaendelea kama cases za Roma na wengine?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Leo ndio nimeamini hawa ni wanafiki wakubwa na hawastahili kuzungumza na kulalamika leo

    Mkuu kwa andiko lako, hujawahi kuwa hata kiongozi ngazi ya jumuiya
Back
Top Bottom