Recent content by social 006

  1. S

    Naomba msaada wa kutatua changamoto hii katika Application ya UDOM

    Msaada, Wakati nafanya maombi ya kujiunga na chuo cha UDOM, nimefanikiwa kucreate account na ku log in, shida ni kwamba nime log in nakuta account kwenye dashboard ni empty hakuna sehemu ambapo naweza pata controls number wala sehemu ya kufanya application ya uchaguz wa kozi.
  2. S

    Mhitimu anahitaji kuomba nafasi ya kujitolea ila bado hajapata cheti

    Ni mhitimu wa Diploma ya Maendeleo ya Jamii, anahitaji kuomba sehemu ya kujitolea changamoto ni kwamba hajapata cheti chake cha diploma, ana hati inayoonyesha matokeo tu. 1. Je, akiomba kupitia hiyo anaweza kupata? 2. Ni maeneo gani anaweza kuomba kujitolea ukiacha (halmashauri) serikalini...
  3. S

    Stella Maris university college

    Chuo cha Stella Maris kina hostel za kutosha wadau,na vp Mazingira yake kwa ujumla na hata hal ya maisha ya eneo chuo kilipo.
  4. S

    Msaada katika uchaguzi wa kozi

    Mawazo yote yanaheshimiwa, Msaada unahitajika kwa wahitimu wa diploma. Ni kozi gani zinaweza kuwa na uwanja mpana kwa government, private na hata kujiajiri kati ya hizi? 1: Bachelor of Community Development 2: Bachelor in Human Resources Management 3: Bachelor in Economics 4: Bachelor in...
  5. S

    Msaada kwa wahitimu wa Diploma

    Diploma ya Maendeleo ya jamii G.P.A 4.7
  6. S

    Msaada kwa wahitimu wa Diploma

    Hivi vitu gani ni muhimu anapaswa kuwa navyo mhitimu wa diploma ili kuweza kufanya maombi ya vyuo kwa usahihi.
Back
Top Bottom