Recent content by snchimbi

  1. snchimbi

    Oral Interview ya TRA 2025 nikajikuta kila kitu nimesahau

    Hongera sana kaka, tunamshukuru Mungu, kwa kutujalia nami pia Mwenyezi Mungu kanifanikisha nafasi ya TMO.
  2. snchimbi

    Oral Interview ya TRA 2025 nikajikuta kila kitu nimesahau

    Vipi ndugu umefanikiwa kuitwa kazini?
  3. snchimbi

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Wizara zote mishahara yao inalingana ambayo kwa degree anaeanza ni scale ya TGS D
  4. snchimbi

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Wizara zote mishahara ni sawa kwa degree anaanza na TGS D.
  5. snchimbi

    Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

    Sahihi ndugu ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo, Mungu hupendezwa na mioyo ya shukrani na kupitia hiyo mioyo ya shukrani, ndipo Baraka zake zilipo, hakika muda si mrefu kwa moyo huo wa shukrani uliomuonesha atakubariki kwa kukupatia nafasi ndugu yangu, nakuombea Baraka zake ziwe nawe.
  6. snchimbi

    Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

    Ndio ndugu, mimi kuna jamaa yangu alifanyaga usaili baada ya wenzake kuitwa kazini, yeye alikaa miezi kama 10 hivi wakamuita pia
  7. snchimbi

    Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

    Amina ndugu yangu, namshukuru sana Mwenyezi Mungu, nawaombea nanyi awajalie mpate ndugu zangu.
  8. snchimbi

    Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

    Amina namshukuru sana Mwenyezi Mungu.
  9. snchimbi

    Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

    Inawezekana ndugu, ni kuendelea kusikilizia Mungu ni mwema sana, atawajalia ndugu zangu.
  10. snchimbi

    Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

    Tax management officer
  11. snchimbi

    Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

    Jamani nami namshukuru na kumtukuza Mungu, nimepata email muda huu. Mungu kajalia jina lake lihimidiwe milele.
  12. snchimbi

    Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

    Tuzidi kumsikilizia Mwenyezi Mungu, mpaka asubuhi ya kesho itakuwa imejulikana.
  13. snchimbi

    Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

    Hivi ni kweli mpaka muda huu hakuna waliopata email za kuitwa kazini?
Back
Top Bottom