Recent content by snag

  1. S

    Michango isiyo ya hiyari kwa walimu wilaya ya kilolo

    WALIMU wa secondary wilayani KILOLO wametakiwa kutoa fedha tsh.10000 kila mmoja na sh.500 kila mwanafunzi kwa ajiri ya ujenzi wa maabara wilayani humu. taarifa zinasema kuwa fedha hizo zitakatwa moja kwa moja kutoka kwenye akaunti za walimu,CWT mko wapi?
  2. S

    Je! kwa hali hii naruhusiwa kufanya EGM

    Nimesoma HGK, nikapata (B A D), Nikasoma BAED- History geography- miez 4 ilopita nimeajiliwa kama mwalimu. LAKINI- O-level nilipata B hesabu na c jiograph: je naweza kuruhisiwa kufanya EGM bila kuathiri cheti changu cha HGK? Nitapata BSC bila kuathiri BAED?
  3. S

    Mkwawa university college of education

    lakini kama kweli wanaanzisha hii cozi , lazima wataongeza wafanyakaz hebu tusubiri tuone
  4. S

    Niorodheshee topics za Hgk

    wewe @1 ziko one and two, mfano geog one pekee kuna: physical and practical ambapo physical kuna EARTH SYSTEM, MATERIALS OF THE EARTH,GEOMORPHOLOGY,LAKES,SOIL,CLIMATOLOGY na practical, kuna MAP,PHOTOGRAPHY, RESEARCH,SURVEY,STATISTICS, hapo bado geography 2,
  5. S

    Mkwawa university college of education

    Hiv ni kweli chuo cha mkwawa wanaanza course ya stashahada ya ualimu? Mwenye uhakika na hili tafadhari na kama ni kweli vp kuhusu ajira za lecturers na TA's zitatangazwa lini hapo mkwawa
  6. S

    Jekwamatokeo haya nitachaguliwa kuendelea A-level?

    Usimdanganye! Kwa matokeo hayo umemis credt moja so kama unahtaji kwenda A Level lazma urest na leo ndo mwisho wa kulipia, japo fain itafuata! Lakn pia unaweza kwenda ualimu ngaz ya cheti kama huon sabab ya kurist
  7. S

    Maandamano ya walimu wapya!

    UONGOZI WA VYUO VIKUU NA VYUO VYA UALIMU TANZANIA, VIKISHILIKIANA NA WAHITIMU WOTE WA NGAZI YA CHETI, STASHAHADA, NA SHAHADA PAMOJA NA WAZIRI KIVULI WA ELIMU: Wanatangaza maandamano makubwa nchi nzima ya kupinga kuchelewa kwa ajira za walimu 2013/2014, maandamano hayo yataanza tarehe 26/ 2/...
  8. S

    Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    jiangalie kwenye boxer yako! mzima kweli, kama mzima kwa sasa bas utaila uko mlangon mwako!
  9. S

    Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    nyie jeni kaenda iringa analialia mbele ya wakuu wa shule kuwa omba radhi wavumilie had april moja, alaf mnajiriwaza hapa! LABDA KAMA BABA MWENYE NYUMBA AMERUD NA FUNGU KUTOKA UK HIYO JUZ KATI, AU LA KAMA WAMEFANIKIWA KUUZA LILE SHEHENA LA MENO YA TEMBO YALO KAMATWA, vingnevyo mungu awajalie...
  10. S

    Attion walimu

    Ajira zinatangazwa leo sa kumi: ni uhakika
  11. S

    Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    jamani hata wakitoa lazma 2015 tuwafirie, hizo tani ngap za pembe za ndov wanazokamatakamata c wauze hzo hzo zisaidie kwan huwa wanapeleka wapi! Alafu bungen huwa wanasema wanakopesheka wakakope sasa
  12. S

    Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    kwann jenister anaongelea vichocholon, kwann asiite media aweke waz! magamba bwana cjui yakoje
  13. S

    News:AJIRA ZA WALIMU....

    nikiajiriwa itabidi nikae 2months bila kuteach, il kujijenga kisaikolojia vingnevyo nitaisema vbaya serikal darasani
Back
Top Bottom