Mimi na swali kuhusu hizo barabara za mwendokasi zinayojegwa Dar es Salaam nzima; ni mimi au barabara zinazojengwa kwajili ya private cars nafasi waliyolitenga mbona kama ni ndogo sana?
I mean what if gari ya mtu ikiharibika hamna hata sehemu ya kuligesha. Pia italeta foleni kubwa zaidi...
Baada ya Waziri wa Fedha kuwasilisha Bajeti ya mwaka 2026/27, Serikali imeongeza kodi ya excise duty kwa magari kulingana na uchakavu wake, ambapo ongezeko ni kati ya asilimia 5 hadi 10 kulingana na mwaka wa utengenezaji wa gari.
Sisi wafanyabiashara wa magari hatupingi kulipa kodi. Hata hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.