Recent content by Smocker

  1. S

    JamiiForums Kukosa mkopo+jkt+umasikini..mmeni encourage kukaba na kufanya matukio makubwa

    Dahh..ndugu mjue mambo mengne yanakera...hebu fikir mtu anaacha kuchagua fuculty aliyokua anamalengo nayo nakuchagua fuculty yenye priolity ili aweze kusoma na kufanikisha angalau malengo yake madogo lakin bado ananyimwa mkopo....ilikua na maana gan sasa kuweka priolity na non priolity....!
  2. S

    JamiiForums Kukosa mkopo+jkt+umasikini..mmeni encourage kukaba na kufanya matukio makubwa

    Mmenipeleka jkt wenyewe bila mimi kupenda na kunifundisha matumiz ya silaha zote...mmeninyima mkopo japokua vigezo vya kupewa mkopo nlkua navyo..plus na umasikini nlokuanao...kiukweli kwa hacra mlonipa nawaza kukaba...na siku mkinikamata ntawapa sababu hizihizi
  3. S

    JamiiForums naombeni mnifafanulie tofauti ya hizi degree

    but..nackia kua mashirika ya kimataifa yanatoa mikataba ya kaz ya mda mfup...n kwel...?
  4. S

    JamiiForums naombeni mnifafanulie tofauti ya hizi degree

    nakuelewa ndugu....!
  5. S

    JamiiForums naombeni mnifafanulie tofauti ya hizi degree

    vip kuhusu mshahara ndugu....?
  6. S

    JamiiForums naombeni mnifafanulie tofauti ya hizi degree

    Pia anaesoma bach ya economics & statistics anatarajia kufanya kaz gan na mishahara yao inaanzia kiasi gan...? Msaada tafadhali
Back
Top Bottom