unajua hata ilivyokua kipindi cha nyuma mtu alikua hapati ajira mpaka uonyeshe cheti cha jkt....na ndivo itakavyokua,therefor ucpoenda sasa hivi kwa kuchaguliwa utaenda badae kwa kuomba! kwa mtazamo wangu binafsi ni vyema kuwasiliana na vyuo kuhusu admmision n regstrtn zetu kama zitatusubiri au...
tatizo co kwenda jkt...tatizo ni kua kuna ambao tuko vyuoni tayari sasa tufanyaje tuache masomo twende uko au vp? kingine wangewasiliana tokea mwanzo kua kimoja kianze thn kingine kifwatie .....mshika mawili moja humponyoka sasa mm litaniponyoka la jkt.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.